Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
RFI Kiswahili
Radios: RFI Kiswahili
Catégories: Sciences et Médecine
Écoutez le dernier épisode:
Mkutano wa hali ya hewa COP29 ukiendelea nchini Azerbaijan, masuala yanayoibua changamoto ni ufadhili, mchakato wa kuondokana na mafuta kisukuku, athari ambazo zimekumba bara la Afrika kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, kuongezeka kwa viwango vya joto lakini pia suluhu zinazopendekezwa na wataalam wa mazingira.
Kauli mbiu ya mwaka huu kwenye mkutano wa COP29 ni uwajibikaji wa ufadhili haswa kutoka mataifa tajiri ambao wanachangia kwa viwango vikubwa uchafuzi wa mazingira wakati athari zake zinaathiri nchi zisizojiweza na shirika la mazingira la Greenpeace Africa linapendekeza mustakabali wa nishati mbadala na haki ya hali ya hewa kwa Afrika.
Kwa mengi zaidi bonyeza ili kusikiliza makala.
Épisodes précédents
-
180 - COP29: Wanamazingira wapendekeza ufadhili zaidi kwa Afrika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Tue, 19 Nov 2024
-
179 - Ripoti ya mazingira ya UNEP kuhusu pengo la uzalishaji wa gesi chafu duniani 2024 Thu, 31 Oct 2024
-
178 - Jamii Pwani ya Kenya wapinga mradi wa nyuklia kutokana na athari kwa mazingira Tue, 29 Oct 2024
-
177 - DRC:Jamii ya mbilikimo wakemea uharibifu wa misitu unaofanywa na makundi ya waasi Wed, 09 Oct 2024
-
176 - Siku ya kimataifa ya uhamasisho kuhusu upotevu na utpaji wa chakula Mon, 30 Sep 2024
-
175 - Siku ya kimataifa ya kufanya usafi wa mazingira na matumlizi ya teknolojia Mon, 23 Sep 2024
-
174 - Wahifadhi wahofia kudidimia kwa tembo aina ya "Super Tusker' Fri, 06 Sep 2024
-
173 - Mchango wa mashirika yasio ya kiserikali kuwezesha upatikanaji wa maji safi kwa jamii nchini Kenya Fri, 06 Sep 2024
-
172 - Matumizi ya taka za chupa za plastiki kuendeleza kilimo bila mchanga(Hydroponic farming) Mon, 12 Aug 2024
-
171 - Kenya: Namna mabaki ya ngozi ya samaki yanavyotumiwa kuhifadhi mazingira Mon, 05 Aug 2024
-
170 - Uhifadhi wa mbegu za kitamaduni na sera zinazotishia mapato ya wakulima wadogo nchini Kenya Mon, 29 Jul 2024
-
169 - Uhifadhi wa mbegu za kitamaduni na kiasili na shirka la Seed Savers Network Mon, 22 Jul 2024
-
168 - Ugeuzaji wa taka za plastiki kuwa matofali maalum(Cabro) inayotumika kutengeneza barabara Mon, 17 Jun 2024
-
167 - Uboreshaji wa ardhi, kuimarisha ustahimilivu kwa ukame, na kupambana na kuenea kwa majangwa Wed, 12 Jun 2024
-
166 - Mradi wa Sola katika kisiwa cha Ndeda, nchini Kenya, waleta mabadiliko kwa wakaazi Tue, 21 May 2024
-
165 - Katika makala haya utafahamu kuhusu vimbunga na athari zitokanazo na vimbunga Mon, 20 May 2024
-
164 - Majadiliano kuhusu mkataba wa kisheria wa kimataifa kudhiti uchafuzi wa taka za plastiki Tue, 14 May 2024
-
163 - Nchi za Afrika Mashariki zaendelea kushuhudia mvua kubwa zikihusishwa na El Nino Mon, 06 May 2024
-
162 - Hali ya mafuriko katika nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika Mon, 29 Apr 2024
-
161 - Ukulima wa baharini pwani ya Kenya Tue, 23 Apr 2024
-
160 - Ukulima wa minyoo wa ardhini(Earthworm) katika utengenezaji wa mbolea asili Tue, 16 Apr 2024
-
159 - Kenya: Upanzi wa mimea yenye uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi Mon, 15 Apr 2024
-
158 - Tamasha la mazingira liliandaliwa jijini GOMA nchini DRC Tue, 02 Apr 2024
-
157 - Wakulima nchini Kenya wajiandaa kwa msimu wa kupanda Mon, 18 Mar 2024